0 Comment
Mwanamume mmoja amekamatwa huko New York kuhusiana na kifo cha mwanamke aliyechomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi huko Brooklyn. Kamishna wa polisi Jessica Tisch alielezea tukio hilo la Jumapili kama “moja ya uhalifu mkubwa ambao mtu anaweza kufanya dhidi ya binadamu mwingine”. Alisema mwanamke huyo alikuwa kwenye treni ya F kuelekea Brooklyn alipofikiwa... Read More