0 Comment
Mwenyekiti wa Chipkizi Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Morogoro Jeremia Kisena Mabuba amewataka wazazi na walezi kuwalinda watoto na vitendo vya ukatili hasa kipindi hiki Cha likizo na sikukuu. Mabuba amesema kuwa ataungana na Serikali ya awamu ya sita katika kuhakikisha wanakabiliana na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watoto hasa wakiume ambao wanaonekana wamesahaulika katika jamii... Read More