0 Comment
Na Janeth Raphael MichuziTv Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amekemea tabia ya baadhi ya Watumishi wa Umma kukaimisha nafasi kwa watu wasio na sifa, huku akisema kwamba jambo hili husababisha migogoro ndani ya Taasisi na hupelekea watumishi waliokaimu nafasi kutopewa haki zao. Waziri Simbachawene amewasihi... Read More