0 Comment
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman, amesema kwamba mfumo wa Kodi uliopo nchini unaruhusu kuwepo utitiri wa kodi nyingi zinazosimamiwa na mamlaka tofauti jambo linaloweza kusababisha kuanguka biashara kutoka kwenye sekta mbali mbali nchini. Mhe. Othman ameyasema hayo huko ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar alipokutana na Tume ya Rais ya... Read More