0 Comment
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), leo tarehe 28 Januari, 2025, limekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milion kumi 10 katika vituo vitatu vya afya wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa ili kusaidia kuondoa changamoto ya upungufu wa vifaa tiba katika vituo hivyo. Msaada huo umetolewa kufuatia uhitaji wa vifaa hivyo... Read More