0 Comment
Rais wa Marekani Donald Trump Jumatatu alisisitiza pendekezo lake la kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kupitia matamshi yake kwamba angependa kuwafanya waishi katika eneo ambalo wanaweza kuishi bila usumbufu na mapinduzi na vurugu, aliwaambia waandishi wa habari, kulingana na Ikulu ya White House. Siku ya Jumamosi, alipendekeza kuwa Jordan na Misri zichukue Wapalestina zaidi... Read More