0 Comment
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla leo tarehe 27 Januari 2025 ameanza ziara ya siku mbili Visiwa vya Pemba akianzia Kusini Pemba . Makalla akiwa kusini Pemba amefanya ukaguzi wa Miradi ya kimkakati akianzia Shule ya Kisasa na ya Mfano ya Ole sekondari iliyopo jimbo la Chake... Read More