0 Comment
WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kubadili utaratibu za kupika chakula ili kuachana na matumizi ya kuni na mkaa. “Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuwa kinara katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.... Read More