0 Comment
Kaimu naibu waziri wa mambo ya nje wa kundi la Taliban amemtaka kiongozi wa kundi hilo kufuta marufuku ya haki ya kupata elimu kwa wanawake na wasichana wa Afghanistan, akisema hakuna kisingizio kwao, hii ni katika kukemea kwa nadra hadharani kwa sera ya serikali ya kupinga elimu kwa watoto wa kike. Sher Mohammad Abbas Stanekzai,... Read More