0 Comment
WAKATI maadhimisho ya wiki kwa mlipa Kodi yakikaribia kufikia kilele chake, Januari 23, 2025, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandaa bonanza litakalowakutanisha wafanyabiashara wa Kariakoo na wafanyakazi wa TRA ili kuendelea kujenga mahusiano mazuri baina yao. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa bonanza hilo leo Januari 16,2025 jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Ilala,... Read More