0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Januari 16, 2025 Ofisini kwake amempokea na kufanya kikao kifupi na Balozi Mhe. Marianne Young, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania ambapo Mhe. Young yupokwenye ziara ya kikazi Mkoani Mwanza katika Wilaya za Ilemela, Nyamagana na Magu. Mhe. Mtanda amesema Tanzania na Uingereza wamekuwa na mahusiano mazuri... Read More