0 Comment
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, UN Antonio Guterres amefurahishwa na tangazo la jana Jumatano la makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza na uachiliwaji wa mateka. Lakini amesisitiza, “Kipaumbele chetu lazima kiwe kupunguza mateso makubwa yaliyosababishwa na mzozo huu.” Guterres amezitaka pande zote kutii kikamilifu makubaliano hayo. Amesema, “Ni muhimu kuwa usitishaji huu wa vita... Read More