0 Comment
USIKU wa leo ni usiku wa mapene kwani itapigwa michezo ya kutosha katika ligi tofauti tofauti kuanzia Uingereza, Italia, na Ujerumani ambapo zitakupa fursa ya kunyakua mkwanja wako. Pale ligi kuu ya Uingereza itapigwa michezo kadhaa, ligi kuu ya Ujerumani halikadhalika itapigwa michezo kadhaa, bila kusahau ligi kuu ya Italia ambayo nayo itashuhudia mchezo mkali... Read More