Polisi wa Korea Kusini walimkamata Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol katika makazi yake mjini Seoul siku ya Jumatano saa za huko, ABC News ilithibitisha hii ni baada ya muda mrefu wa kumnasa. Kuzuiliwa huko kunakuja wiki kadhaa baada ya wachunguzi kujaribu kwa mara ya kwanza kumkamata mwanasiasa huyo aliyehasimiana kutokana na tangazo lake la... Read More
Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré amepiga marufuku matumizi ya wigi za Uingereza na Ufaransa zinazovaliwa na majaji mahakamani, kuashiria hatua muhimu ya kuondoa ukoloni mfumo wa mahakama wa nchi hiyo. Akitangaza uamuzi huo, Rais Traoré alisisitiza umuhimu wa kuachana na mila za kikoloni na kukumbatia desturi zinazoakisi urithi wa kitamaduni wa Burkina Faso. Marufuku... Read More
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe, Abdulaaziz M. Aboodamewataka Wenyeviti na Mabalozi Jimboni humo kufanya kazi kwa mshikamano ili kuboresha huduma kwa wananchi wanaowatumikia na kuweza kutimiza azma ya kuu ya Chama cha Mapinduzi ya kuwa na Umoja wenye nguvu kwa kuelendea kuwa Chama kisicho tetereka hapa nchi. Mhe Abood ametoa wakati akifunga mafunzo... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 15, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 15, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 15, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2025. Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic... Read More
.Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amefanya mazungumzo na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wake Bwana Justine Mhando, ambao wamefika Ofisini kwake Januari 13, 2025 wakiwa katika Ziara ya Kikazi ya Siku mbili ya Kukagua Mali za Shirikia hilo. Katika Mazungumzo hayo Mwenyekiti Bwana Justine amehukakikishia... Read More
Benki kuu ya Tanzania (BOT) imesema imekusanya kiasi cha Tani mbili za Dhahabu zenye thamani ya Shilingi Bilioni 400 kuanzia Mwezi Oktoba 2024 hii ni baada ya Serikali kuondoa tozo ya ukaguzi pamoja na punguzo ya tozo ya Asilimia mbili ya Mrahaba . Hayo yameelezwa wakati wa Mafunzo ya Uongezaji thamani kwa wanawake wachimbaji yaliyotolewa... Read More
Na; Mwandishi Wetu – DODOMA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amewasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi (Na. 13) wa Mwaka 2024 (The Labour Laws Amendments (No.13) Bill, 2024) mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii,... Read More