0 Comment
Victor Osimhen anaonekana kuwa mtu anaekubalika sana na Man United, licha yakwamba aliwahi kushauriwa dhidi ya kusaini klabu hiyo ila akaenda Napoli. Sakata la muda mrefu la uhamisho wa mshambuliaji huyo wa Nigeria msimu uliopita wa joto liliishia katika kuhamia Galatasaray. Imeripotiwa kuwa Man United wameanza mazungumzo ya kumnunua Osimhen, na kwa mechi 17 za... Read More