0 Comment
Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia za watu wengi kutokana na mashairi yaliyoandikwa katika wimbo huo. Rehema Simfukwe tangu alipotoa wimbo huo miaka minne iliyopita hakuwahi kutoa sababu... Read More