0 Comment
Watu wasiojulikana wamechoma ofisi ya mtendaji wa kata ya Silambo wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora na kusababisha uharibifu wa jengo la ofisi na kuteketea kwa nyaraka zote za serikali zilizokuwa zinahifadhiwa kwenye ofisi hiyo. Ayo TV imefika katika kata ya Silambo eneo la tukio na kushuhudia uharibifu huo huku Mkuu wa Wilaya hiyo Gerald... Read More