0 Comment
Na WAF – Dodoma Tanzania na Japan zimetia saini hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji miradi ya huduma za Afya lengo likiwa kuboresha huduma hizo na kuhuisha ushirikiano kwa kipindi cha miaka mitano (5) kwa kuzingatia vipaumbele vya pamoja. Utiaji Saini wa makubaliano hayo umefanyika mapema leo tarehe 8 Januari, 2025 katika ukumbi wa Wizara... Read More