0 Comment
Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airports Council Interantional-ACI) kwa Kanda ya Afrika,huku maandalizi yake yakiendelea vizuri. Ameyasema hayo leo,Waziri wa Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa wakati akiongea na waandishi wa habari katika uwanja wa Ndege Kisongo Jijini Arusha juu ya Mkutano wa Kikanda 73 wa Baraza... Read More