0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria “The Super Eagles “. Chelle ambaye ni mzaliwa wa Abidjan nchini Ivory Coast, aliiongoza timu ya taifa ya Mali katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2022 hadi 2024 baad ya kutimuliwa kutokana... Read More