0 Comment
CHUO cha Furahika Education College kilicho chini ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kimewaasa wakuu wa vyuo vyote nchini kuwa na Walimu wanaofundisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Hayo ameyasema Mkuu wa chuo cha Furahika Education College Dkt. David Msuya wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Januari,... Read More