0 Comment
SAME. MBUNGE wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela amesema wananchi wa Same wanatoa machozi ya furaha, kutoka na Barabra ya Same- Mkomazi kuanza kujengwa kwa kiwango cha lami kwani shida kubwa inayowakabili ni barabara hivyo ujenzi wake ni ukombozi mkubwa kwa maisha yao. ” Leo mama Samia Suluhu Hassan anaandika historia ya kuikomboa Wilaya ya... Read More