0 Comment
Na John Walter -Babati Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Daniel Sillo, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa maji katika Kata ya Arri. Mheshimiwa Sillo ameweka jiwe hilo la msingi leo Januari 3,2025, ambao unatekelezwa chini ya usimamizi wa Wakala wa... Read More