0 Comment
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03/01/2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake. Katika mazungumzo yao yaliyojikita kwenye masuala ya Kodi, Uwekezaji, kubadilishana... Read More