Mbunge wa Jimbo la Mafinga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi (Mb) ametembelea TFS-Shamba la Miti Sao Hill ili kuona namna shughuli za upandaji miti na uhifadhi wa misitu zinazofanywa na Shamba Mbunge wa Jimbo la Mafinga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano... Read More
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa shirika la umeme nchini [tanesco] linawashikilia watuhumiwa wawili Movin Joseph Mwaholi [53] Mfanyabiashara wa vifaa vya umeme na Rehema Jamson Silia [42] Mfanyabiashara wa chuma chakavu, mkazi wa nzovwe kwa tuhuma za kukutwa na miundombinu ya umeme na maji. Watuhumiwa walikamatwa Januari 02, 2025... Read More
Na Nihifadhi Abdulla, Zanziba TUKIWA tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 Jitihada mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ambazo zinalenga wanawake kupata uongozi kwa kuzingatia usawa wa kijinsi na kuhakikisha 50 kwa 50 inafikiwa kwenye nafasi hizo. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi haki za wanawake za kushiriki katika uongozi, ibara ya 21 inasisitiza kuwa kila... Read More
Mkoa wa Morogoro watajwa kuwa Kanda Maalum ya ufugaji wenye tija kwa kuwa na ng’ombe wa kisasa na mashamba ya malisho kwa ajili ya mifugo. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amebainisha hayo Januari 03, 2025 katika Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro alipokuwa akizungumza na baadhi ya wafugaji wa mkoa huo akifafanua... Read More
Wakazi wa Shehia ya Kinyikani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, Visiwani Zanzibar wameondokana na adha ya ukosefu wa huduma za afya baada ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Kinyikani na nyumba ya watumishi kwa gharama ya shilingi milioni 552. Kituo hicho kimezinduliwa leo na Spika wa Baraza... Read More
Watanzania ,Wazanzibari na Waumini wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kuidumisha amani, utulivu na mshikamano uliopo nchini ili kuweza kuisaidia serikali kuweza kupiga hatua kimaendeleo. Hayo yamesemwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla wakati akiwasalimia waumini wa Masjid RIDHAA uliopo MADUNGU WILAYA YA CHAKE CHAKE mara baada ya kumaliza... Read More
Mbulu-Manyara Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Kitila Mkumbo amekagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara. Akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo Januari 2, 2025, Mhe. Prof. Mkumbo amezindua na kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi Wodi... Read More
Na Oscar Assenga,Tanga MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa tena kiasi cha shilingi bilioni 4.7 ili mkandarasi wa kampuni ya Chiko anayejega barabara ya Tanga hadi Pangani kwa kiwango cha lami aendelee na kazi baada ya kusimama muda mrefu. Ummy aliyasema hayo leo wakati wa... Read More