0 Comment
Wananchi wa kata tano za Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, wanatarajia kuondokana na adha ya kukodi usafiri kwa gharama kubwa pamoja na kupandisha wanawake wajawazito kwenye boda boda wanapofuata huduma kwenye hospitali kubwa mara baada ya serikali kuwaletea gari la kubebea wagonjwa. Wakizungumza baada ya kukabidhiwa gari hilo katika kituo cha afya Mtwango na... Read More