0 Comment
Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu, na kwa kuzingatia kutakuwa na mkesha wa siku tatu katika Jiji la Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine... Read More