0 Comment
NA BALTAZAR MASHAKA, MISUNGWI JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limeendesha ukaguzi wa magari ya abiria mkakati wa kudhibiti ajali na uvunjaji wa sheria za barabarani zinazofanywa na madereva. Ukaguzi huo ulifanyika 27 Disemba 2024 ,katika eneo la Usagara, Wilaya ya Misungwi, umelenga magari yanayosafiri mikoani ili kuzuia ajali zinazotokana na uzembe wa madereva na... Read More