0 Comment
Takriban watu 125 wameuawa nchini Msumbiji katika kipindi cha siku tatu za ghasia nchi nzima wakati wa maandamano yaliyoongozwa na upinzani dhidi ya matokeo ya uchaguzi, shirika lislo la kiserikali limesema siku ya Alhamisi Shirika la Plataforma Decide Alhamis ilitaja idadi ya imefikia 125 tangu Jumatatu, pia kuongeza idadi ya vifo tangu ghasia zilipoanza mwezi... Read More