0 Comment
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya imesema itafuatilia mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa 2025, ili kudhibiti vitendo vya rushwa na kuhakikisha wanapatikana viongozi wanaostahili. Aidha, imeviomba vyama vya siasa na wananchi kwa ujumla kutoa taarifa pale watakapoona viashiria vya rushwa kwenye maeneo yao ili vidhibitiwe mapema kabla havijasababisha... Read More