0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi ameweka jiwe la msingi la jengo la Taaluma na Utawala awamu ya pili katika Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam iliyopo Buyu visiwani Zanzibar. Ujenzi wa jengo hilo ni miongoni mwa shughuli... Read More