0 Comment
Waziri wa Katiba na Sheria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza maalum la Mawaziri wa Sheria la Umoja wa Afrika kikao kilichowakutanisha Mawaziri, Mabalozi na Wataalamu katika sekta ya Sheria wa Umoja wa Afrika kikao kilichofanyika kuanzia tarehe 14 na kumalizika leo tarehe 22 Desemba, 2024 katika hotel ya... Read More