0 Comment
Jaji wa Brazil ameamuru wimbo wa mwimbaji nyota wa pop wa Uingereza Adele,”Million Years Ago,”ufutwe kwenye majukwaa ya muziki duniani kote ikiwa ni pamoja na huduma za utiririshaji kutokana na madai ya wizi Amri hiyo inatishia kampuni tanzu za Brazil za Sony Music Entertainment na Universal Music, lebo za Adele, kwa kulipa faini ya $8,000... Read More