0 Comment
Na Jane Edward,Arusha Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango amewataka viongozi wote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuongoza mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa kwani viongozi wanaposhindwa kutimiza wajibu wao vitendo vya rushwa vinaendelea kushamiri na kuwafanya waanchi kukosa Imani na serikali yao. Mpango ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano Mkuu wa... Read More