0 Comment
Na. Elimu ya Afya kwa Umma. Jamii imeaswa kuendelea kuchukua tahadhari za kujikinga na Magonjwa ya mlipuko ikiwemo Marburg. Hayo yamebainishwa na Afisa Lishe kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera Bi.Domina Jeremiah wakati akitoa elimu ya Afya katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ng’ambo. Amesema miongoni mwa tahadhari muhimu za kuchukua katika kujikinga ni... Read More