0 Comment
Askofu Bethuel Mlula, akiwekwa wakfu na kutawazwa kua Askofu wa Pili wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kiteto, katika ibada iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Mikaeli, Kiteto Mkoani Manyara, Machi 3, 2025. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).... Read More