0 Comment
Mkurugenzi wa Raslimali Watu kutoka Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa programu ya ‘Code Like A Girl’ yenye lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM) ambayo yanafadhiliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na dLab katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa... Read More