0 Comment
Wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Barrick nchini na wakandarasi wake wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kujikita kutoa msaada kwenye jamii sambamba na kujitolea muda wao kusaidia shughuli za kijamii ambapo baadhi yao wameshiriki maadhimisho ya kitaifa yaliyofanyika katika jiji la Arusha. Wanawake kutoka mgodi wa Barrick Bulyanhulu wametembelea hospitali ya rufaa... Read More