0 Comment
Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wamesema wilaya hiyo ni miongoni mwa wilaya ambazo wananchi wake wamekuwa wakitii utawala unaozingatia sheria za nchi na masuala ya haki za binadamu, jambo linalopelekea kupungua kwa kiasi kikubwa matukio ya uvunjifu wa amani na ukiukwaji wa haki za binadamu. Mkuu wa wilaya hiyo... Read More