0 Comment
Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Ltd, David Nchimbi (wa tano kutoka kulia) akimkabidhi tuzo Elizabeth Muro (kushoto), Mkurugenzi wa Sheria na Uadilifu wa Biashara wa SBL kwenye tukio la Rising Woman kama kutambua mchango wa kampuni hiyo wa kukuza usawa wa kijinsia. Tukio hili lilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. ………… Serengeti Breweries... Read More