0 Comment
Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Shirikisho la vyama vya mawakala wa ushuru wa forodha kwa upande wa Afrika Mashariki na kati (FIATA-RAME) unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari tarehe 8 Machi, 2025 Kwenye Hotel ya Golden Tulip iliyopo Unguja,Zanzibar Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema mkutano huo... Read More