0 Comment
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti akikagua mashamba ya kuzalishia Mifugo na Malisho kwenye Ranchi za Taifa Usangu wakati wa Ziara yake Machi 7, 2025 Wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti akikagua mashamba ya kuzalishia Mifugo na Malisho kwenye Ranchi za Taifa Usangu na kushuhudia... Read More