0 Comment
Na Mwandishi wetu, Mirerani WAJUMBE wa kamati tendaji ya chama cha wachimbaji madini Mkoa wa Manyara (MAREMA) wamempongeza Mwenyekiti wao Elisha Nelson Mnyawi kwa kujitolea fedha zake binafsi shilingi milioni 5.6 kwa ajili ya chama hicho. Mwenyekiti huyo Elisha Nelson Mnyawi amejitolea fedha zake binafsi shilingi milioni 3.6 na kununua viti vitatu vipya kwa ajili... Read More