0 Comment
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imefanya ziara ya kikazi katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu na kupongeza jitihada zinazofanywa na mgodi kujali afya za wafanyakazi wake na jamii nzima ya vijiji vinavyozunguka mgodi huo. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Hassan Mtenga akiongea baada ya kuhitimisha ziara hiyo... Read More