0 Comment
DAKTARI kutoka Hospitali ya Polisi Kilwa Road, Denis Basyagile, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa kifo cha Robert Mushi kilisababishwa na kupoteza damu nyingi kutokana na majeraha mbalimbali mwilini. Shahidi huyo aameeleza hayo wakati akitoa ushahidi wake katika kesi inayowakabili aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, na mwenzake Godlisten Malisa, ambao... Read More