0 Comment
Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twarika Taifa ,Shehe Haruna Hussein akizungumza katika hafla hiyo ya futari jijini Arusha Waumini wa dini hiyo wakifuturu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa fedha kwa ajili ya kufuturisha waumini hao . Happy Lazaro,Arusha . WAUMINI wa Taasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika Zawiya Kuu mkoani Arusha... Read More