0 Comment
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka wabunifu wa kazi za sanaa na fasihi kujirasimisha na kurasimisha kazi zao ili waweze kunufaika na mikopo inayotolewa na Mfuko wa Utamaduni na Sanaa. Mhe. Ndumbaro ametoa rai hiyo Septemba 17, 2024 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakati alipofungua programu ya mafunzo ya... Read More