0 Comment
Rais wa zamani wa Marekani na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump atarejea kwenye kampeni Jumanne kufuatia kile kinachoonekana kuwa jaribio la pili la maisha yake katika kuelekea uchaguzi wa Novemba. Trump na mpinzani wake Kamala Harris wote wanaelekeza kampeni zao kwenye majimbo machache ambayo yanaweza kuamua matokeo ya uchaguzi wa rais wa 2024.... Read More