0 Comment
Na WMJJWM-TARIME MARA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kuwafanya wananchi kuwa kitovu cha maendeleo kwa kuhakikisha wanakuwa na fikra chanya katika maendeleo, yenye maadili mema, malezi na makuzi chanya ya watoto, jamii... Read More