0 Comment
Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kutumia siku sita za ujio wa madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Rais Samia kupata huduma za kibingwa kwa karibu katika hospitali za Wilaya zote za Mkoa huo na kuepukana na adha ya kwenda umbali mrefu kufuata huduma hizo kwa gharama kubwa. Rai hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa... Read More